Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
image_search_1559852609066.jpeg
 
Hilo jimbo halina usalama, maisha ya kuwindana.
Sheria hiyo ikiletwa kwetu Temeke tutafaidi kuwalipua vimbelembele kwa kisingizio kama hicho[emoji41][emoji41][emoji41]
Florida kule kuna sheria ya "Stand Your Ground". Maana yake hakuna kutishiwa nyau. Ukihisi tu kuwa umetishwa basi una haki ya kumshindilia mtu shaba upendavyo. Kibaka, jambazi, mgoni na ye yote kama unaamini amekutishia maisha yako basi ni halali kummiminia shaba. Jirani yako akifungulia muziki kwa sauti kubwa unaweza kumuitia polisi ila ukijifanya kimbelembele ukaenda kwake kumuomba apunguze sauti; na akahisi kuwa pengine umeenda kumpa kichapo au kumuua basi anaweza akakuwahi wewe na kukumiminia risasi. Huwezi kujua yupi ana bunduki na yupi hana. Ndo maana kila leo visa vya watu kulimana shaba haviishi.
 
Hilo jimbo halina usalama, maisha ya kuwindana.
Sheria hiyo ikiletwa kwetu Temeke tutafaidi kuwalipua vimbelembele kwa kisingizio kama hicho[emoji41][emoji41][emoji41]
Umiliki wa bunduki ni haki ya kikatiba kwa kila raia. Japo sheria za matumizi zinatofautiana kutoka jimbo moja kwenda jingine lakini uhalali wa kumiliki bunduki ni kwa kila Mmarekani isipokuwa pengine wale ambao wameshawahi kufungwa jela na wenye ishu za matatizo ya akili japo napo hakuna anayefuatilia sana. Kimsingi ukikorofishana na mtu barabarani assume kuwa ana bunduki na ujiandae kwa lolote !!!
 
Back
Top Bottom