Yaani naona aibu kujibu hili swali [emoji3][emoji3][emoji3]nilikuwa nyumbani.
Dah!Hahahaha leo unahisi nilikuwa wapi kwani 😀😀😀tatizo hata nikisema uje hutokei unanichomesha mahindi.
Hahahaha nipe siri ya kufurahi kiasi hiki kaka[emoji23][emoji23]
Aisee usiku mwema
Nini hii unafanya
Kesho natokea ukweli Mpendwa wangu, sikuangushi.Hahahaha leo unahisi nilikuwa wapi kwani 😀😀😀tatizo hata nikisema uje hutokei unanichomesha mahindi.
Sijambo kaka za kwako Familia yetu inaendeleaje.Hujambo
Ahadi ni deniKesho natokea ukweli Mpendwa wangu, sikuangushi.
Poa usiku mwema Mpendwa.Aisee usiku mwema
Hahah
DuhIko wapi
I will make sure of it. Don Worry.Ahadi ni deni
Asalam alaykum kaka
😂😂😂😂Aisee usiku mwema