Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1120168
 
Sheria zao zinasemaje kuhusu mtu anayestahili kudunguliwa, kibaka,jambazi, mgoni wako, jirani yako aliyefungulia sauti kubwa ya mziki au anayetaka kukupora baamedi wako
Kwa Trump huko hizi unakwenda tu unachagua kama unavyochagua nguo. Wanafanya background check ya uwongo na kweli na kama huna rekodi ya uhalifu unaondoka na kifaa chako bila noma. Hatari sana !!!
 
Back
Top Bottom