Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Mh mzee wa liver una mambo mengi Symbologists na historians wametoa maana mbali mbali kila mmoja kwa uono wake na elimu yake...lakini ukisoma kitabu cha Dan Brown's Da Vinci Code utaweza pata details zake....Huu mchoro una siri gani
[emoji16][emoji16][emoji16]Wasafi wameharibu watu hahahaha
Eti hadi anabubujika😃😃😃.Huyo jamaa fala. Mkewe alipokuwa ananenepa yeye alikuwa wapi? Hata kama kanenepa, anashindwaje kuuelewa mwili wa mkewe na kwenda naye sawa? Watu tunapambana na majimama ya kufa mtu hulijui mbele wala nyuma lakini mwanaume unahangaika mpaka linabubujika sembuse mai waifu wako kabisa unayemwelewa vizuri? Mtafuta kiki tu huyo hana lolote [emoji36][emoji36][emoji36]
View attachment 1120005
Naam mkuuAsubuhi ya chai..
Waalykum salaam qaifa haaluk?Asalaam Alyeikum
[emoji16][emoji16][emoji16] kwamba 'siku imeshika kasi' mdau kauli zako hizi huwa zinanifanya nitabasamu....siku imeshika kasi
ndio burudani yenyewe mkuu..hakuna kitu kama furaha[emoji16][emoji16][emoji16] kwamba 'siku imeshika kasi' mdau kauli zako hizi huwa zinanifanya nitabasamu....
Anayebisha afanye kama anajikuna.Me na mabinti dam dam
Hahah! Bro unaniviziaga maeneo muhimu tuAnayebisha afanye kama anajikuna.
Kabisa mkuu.👊ndio burudani yenyewe mkuu..hakuna kitu kama furaha
hahahahahah, umeona eeeh.Hahah! Bro unaniviziaga maeneo muhimu tu
Salama bro, i hope kwema huko.Habari zenu wadau
Salama bro, i hope kwema huko.