Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

At the face-off between the Golden State Warriors and Toronto Raptors, Jay-Z and Beyonce sat next to Nicole Curran, wife of Warriors owner Jacob S Lacob, who appeared to have a lot to say to the power couple.
Couple ya Jay Z na Beyonce hii imedumu vizuri sana
Nakumbuka couple ya Boby na Whitney ilitikisa sana sijui nini kilimaliza hile ndoa
 
Fifa imethibitisha kuwa rais wa shirikisho la soka barani Afrika Ahmad anahojiwa na mamlaka nchini Ufaransa.
Taarifa kutoka kwa shirikisho la soka duniani Fifa linasema kuwa anazuiliwa kutokana na madai kuhusiana na jukumu lake kama rais wa Caf.
Iliongezea kwamba Fifa haijui kuhusu maelezo kuhusiana na uchunguzi huo hivyobsi haiko katika nafasi ya kutoa tamko kuhusu swala hilo.
Naona kashindwa kuongoza soka la Afrika hii game marudio ya final inamtafuna sana
 
Fifa imeitaka mamlaka ya taifa hilo kuipatia habari ambayo huenda sawa na uchunguzi wa maadili unaondelea katika kamati yake.
Ahmad ambaye ni waziri wa zamani wa Madagascar aliripotiwa kwa kamati ya maadili ya fifa kwa madai ya ufisadi na unyanyasaji na katibu mkuu wa Caf Amr Fahmy. Baadaye Fahmy alifutwa kazi.
Ameanza kuwa dikteta kama mtangulizi wake
 
Back
Top Bottom