myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh! kimbembe hicho..
Duh! kimbembe hicho..
Ngoja dadangu mwenyewe aje hapa atie neno [emoji16][emoji16][emoji16]Mbona Nsamaka sijamtelekeza Shemeji ?!!
Kwema huko mkuu?
Mungu ni mwema tunaendelea vizuri. Yule mpwao kesha rudi nitahitaji kukuona upande wa pili utakapokuwa na nafasi.
Asalam alaykum kaka
Duh! wapi hiyoo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Ankoo mjanja. Alivunja ndoa na mazahausi wake orijino na kusepa ili tu asimalizie kulipa mahari wakati hata ving'ombe alivyokuwa analipa ni viandunje halafu vigonjwa. Ni bahili kuliko hata Uniq...
Angetupa ling'ombe limoja kama hili aisee ingekuwa poa sana. Hatuna hamu na Wanyakyusa kwa kweli [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1120531
Moudgulf - Mzee wa Pwani....Mtunza kumbukumbu za uzi kwenye ubora wako.
Safi sana kutukumbusha waraka huu wa mzee wa Mwakaleli
Salama mkuusalama..