Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha asee tumetoka mbali sana na uzi huu, yani kama shule hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanasiasa muamini pindi anapotoa salaam na jina lake, yaliyobakia mkalie mbali
Ndo siasa zetu hizi. Wananchi ni mitaji. Hata mwaka kesho hayo yatatokea bila shaka kwa wengi kuhama kwenda huku na huko kujitafutia ridhiki. Wanasemaga kuwa kamwe usimwamini mwanasiasa hata kama ni babako mzazi...
 
Heshima yako ankoo
 
Ukiwa umetoka kuoga maji yenye Iliki na ulipelekwa bafuni ukiwa umebebwa mgongoni inapaswa uwe mpole [emoji3]

Tanga raha, Dar tamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee baba,hili kombola ni kama ulikuwa umejipanga nalo kitambo aisee,maana nimegusa tu nmekutana na za uso[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tanga,unaoshwa huku umekalishwa kwenye kigoda kama mtoto vile[emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂😂

Hili jipya bro nimeona nikupunguze speed bado mapema kabisa ....

Tanga noma: Kama una mwili mdogo mdogo ata kwenye beseni unatumbukizwa unaoshwa chai maana sio maji tena na hivyo viungo
 
Full story

 
Mbunye hizi wanaume zitatumaliza [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hili jipya bro nimeona nikupunguze speed bado mapema kabisa ....

Tanga noma: Kama una mwili mdogo mdogo ata kwenye beseni unatumbukizwa unaoshwa chai maana sio maji tena na hivyo viungo
Tanga imo kwenye bucket list yangu. Hata kama nikazimikie huko niwe front page ya Shigongo potelea mbali.

Tangaaaaa kwa Blandina [emoji7][emoji7][emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…