Usije yaendesha haya madude Dav..Admire them kwa macho tu hivyohivyo!
HahahaKama hajao tukamate fursa
Nipo hapa naraidi Landrover yangu ... kumbe basikweli
AmeenMungu atupe afya na uzima
Hahahaha hapana acha usingizi starehe.Bado amelala .. nikuitie?
Good Morning Dav😀😀😀 alafu wewe
Usijali bestAkikujibu nitag
Sawa twaja kama utakuwepo kutoa neno lakini😀
BuguruniBuguruni au Tangi bovu?
Buguruni.Wapi hapo?