Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ana uwezo mzuri sana wa kusikia hatua kupitia ardhi, utakuwa mjinga wa mwisho ukifikiri upo salama ukiwa unamnyatia, we unanyata mwenzio anasikia kishindo na kwakuwa unajifanya mjanja yeye ataendelea kulala tuu.
 
Huyu huwa hapendi kuonekana anasaidiwa katika hayo mambo, yeye anapenda kujitafutia mwenyewe. Wewe muache tu anamfata mwenyewe huko PM

Hahahahaha binadamu tunategemena Mzee na team work ndiyo Msingi wa kufanikiwa mfano hata Barcelona walivyo mtegemea Messi pasipo kutegemea Team work walishindwa
 

Huyo jamaa pembeni yako hapo atakuwa anafaidi sana aisee. NB if he exist hypothetical 🀭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…