Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
[emoji3][emoji3][emoji3] hapana Mkatalunya upo vyema kama De jong sema tu nilikua sijashtukia mbinu ya mchezo unayotumia mimuwin mpinzani...
#NowIknow
Nzuri piaNzuri za kwako mkuu
Asante Ile wewe umesaliti chama πMazoea tu yanakutesa[emoji38], pole.
Huyu huwa anafikiriaga kwanza!Aisee kusoma hujui hata picha nayo huoni unachezea bahati
Tafadhali bwanaNyoka nyama yake tam zaidi ya samaki.
Una maanisha kafikiria kaona akwepe hili jambo πππHuyu huwa anafikiriaga kwanza!
Karibu tupate supu ya black mamba.Tafadhali bwana
Aisee una ujasiri mnoNyoka nyama yake tam zaidi ya samaki.
Ee.. yupo pembeni yangu "Hypothetically" anafaudu!Huyo jamaa pembeni yako hapo atakuwa anafaidi sana aisee. NB if he exist hypothetical π€
Kwa hili baridi Jamani, wacha tu nisaliti[emoji52]Asante Ile wewe umesaliti chama [emoji3]
Watam sana karibu kwangu tuvinjarAisee una ujasiri mno
[emoji849][emoji849][emoji849]Kwa muonekano nyoka chatu ni kama bonge la mstaarabu, mpole na mkarimu, amebeba taswira halisi ya wale ndugu zetu wakimya.
Hata niwe na njaa kiasi gani sitaweza kula.Watam sana karibu kwangu tuvinjar
πππ[emoji849][emoji849][emoji849]
Huyu huwa anafikiriaga kwanza!
Ngoja ngoja huumiza matumbo!Mbona unaelewa haraka hivyo, mimi sitaki kungoja, nikiwahiwa je?
Hautamjua akiandaliwa.Hata niwe na njaa kiasi gani sitaweza kula.