Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tuliona hapo nyuma Lakini anaamini kwamba Liverpool inabidi iwe na wasiwasi zaidi kuhusu wachezaji wanaoweza kuondoka kuliko wale wanaoweza kuingia huku pia akiwa na wasiwasi na nguvu ya matumizi ya pesa kutoka kwa wapinzani wao wakubwa katika Ligi.kwa Luis Suarez na Philippe Coutinho. Ingawa walikuwa wanafurahia kucheza soka Liverpool, lakini mawazo yao yalibadilika pindi walipotakiwa na Barcelona. Hilo litatokea tena kwa Mane na Salah,” aliongeza Souness.
 
Lakini anaamini kwamba Liverpool inabidi iwe na wasiwasi zaidi kuhusu wachezaji wanaoweza kuondoka kuliko wale wanaoweza kuingia huku pia akiwa na wasiwasi na nguvu ya matumizi ya pesa kutoka kwa wapinzani wao wakubwa katika Ligi.
 
Liverpool wapo vizuri kwa miaka michache ijayo. Unamtazama golikipa, walinzi wanne, Joel Matip au Joe Gomez, safu yao ya ulinzi inaweza kucheza pamoja kwa miaka nane au kumi ijayo kama wakiepuka majeraha.” Alisema Souness.
 
Trent Alexander-Arnold anaenda kuwa mchezaji mzuri zaidi, ana mguu wa kulia mwepesi. Andy Robertson anaweza kuwa pale kwa muda mrefu. Wanaweza kuongeza wachezaji katika kikosi walichonacho sasa kwa ajili ya kuimarisha, lakini kimsingi wana timu ambayo wanaweza kwenda nayo kwa miaka ming ijayo.”
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wafalme kama Mswati wamejaa tele hapa[emoji41][emoji41][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Nadhani watakuwa katika orodha ya wachezaji wanaotakiwa Real Madrid. Liverpool wapo vema, sina wasiwasi na wao,” alisema. Kocha, Jurgen Klopp anatazamiwa kuimarisha kikosi chake licha ya kuwa bado hajaanza makeke ya usajili mpya.
 
Hahahahahahaha[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Aisee [emoji848][emoji848] ushauri wako ntaufanyia kazi Bro
 
Liverpool walitwaa ubingwa wa Ulaya wikiendi iliyopita huku wakiukosa kidogo ubingwa wa England msimu uliosha na Mane na Salah wamekuwa na mchango mkubwa kikosini hapo huku wakitengeneza moja kati ya safu bora ya ushambuliaji Ulaya.
Wameshaacha kushangilia kweli au bado wanashtua shtua?

Cc. Moudgulf na Mzee wa liver
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…