mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahaha bonge la ubunifuSehemu sahihi kwa kunywea ujiView attachment 1122173
HahahahaUbunifu kwenye maisha ni muhimu sana. Kukosea kwako ndio mafanikio yakoView attachment 1122175
Nimeenda kufukunyua.. Hahaha🤣
Fraggy binti mcheshi heri ya Jumapili
Ila ulivyonituma nikafukunyue eneo hilo nimekutana na vya kwako [emoji16][emoji16][emoji16]
Aiseeee!
Ngoja nikavisome vyote kwa macho mapya!
Sio wote wanaolia ujue...Sema hapo wewe ulitakiwa utupe sababu kwanini mnalia ????🤭🤭🤭
HakikaUsiuogope ukubwa wa tatizo,simama,wazua,pambana kutatua kwa namna yoyote ile...View attachment 1122187
Heshima yako MzeeBaba mmhSeriously frag embu uje unipe summary kidogo maana time Flies kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1122377
Happy Sunday everyone!
Havisamaraiziki aisee!Seriously frag embu uje unipe summary kidogo maana time Flies kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio wote wanaolia ujue...
Mainly wanalia kuacha familia zao when the bride is very young..
Hahahaha ajui anataka nn“Katika utawala wangu nataka niwashushe chini matajiri wote ili waishi kama mashetani.” Magufuli May 13, 2016
“Mimi ningependa nitakapomaliza muda wangu angalau niwe na mabilionea wafanyabiashara zaidi ya mia moja. Nitafurahi sana.” Magufuli June 7, 2019
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
HahahahaAma kweli wahenga hawakukosea waliposema akili ni nywele kila mtu ana zake. Sijui kwanini wahenga hawakusema kitu kuhusu wale wenye VIPARA. [emoji12][emoji12][emoji12]
Amun RaWatu wengi wanamtegemea Mungu ili wapate faida/wanacho kihitaji,mimi hapana,sihitaji kumtegemea Mungu ili nipate faida.
Mimi ni wa Mungu, yeye BWANA yupo ndani yangu nami nipo ndani Yake,pasipo Yeye mimi si kitu.Uhitaji wangu kwake ni wa muda wote...
Kama SuleimanMimi namtegea Mungu ili anipe hekima na amani moyoni.
Same to you Yego.Happy Sunday..View attachment 1122377
Happy Sunday everyone!