mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Naona anazeeka kwa kasiKauli gongana kutoka kwa namba moja
Naona anazeeka kwa kasiKauli gongana kutoka kwa namba moja
Shida moja wanashangilia kila kauliLabda ma-preizi timu watakuwa wamemuelewa,kati ya hizo kauli itakayo shangiliwa zaidi ndio tuiamini...
Heshima yako MzeeBaba mmh
YapJumapili ingine
Na kwako pia mkuuAsubuhi njema
Amun RaMungu atupe afya na uzima
Amun RaAmani itawale siku yetu
Hatari sana![]()
Mama akimweleza Kamanda kwamba mtaji wake wa hii biashara yake ni shilingi 8,000 analazimishwa kununua kitambulisho FAKE kwa shilingi 20,000 ambazo hana. Ilibidi akakope ili aweze kuondokana na usumbufu mkubwa aliokuwa anapata ikiwemo kutishwa kuwekwa ndani na biashara yake kufungwa. Rais wa wanyonge au Rais wa kuwanyonga wanyonge? Bado tuna safari ndefu sana ya kuikomboa nhi toka kwa wahuni.
Wacha niingie kwenye huo Uzi nione mapovu ya waamini![]()
Hivi kupiga sebene kwenye nyumba za kuabudu sio ushetani kweli? - JamiiForums
Ile atmosphere inayoletwa na haya masebene ndani ya nyumba za ibada si ya kuabudi hata kidogo, kwani huu utaratibu ulianzishwa kwa maagizo ya nani?www.jamiiforums.com
Mmh sio wote waliochezewa na mijibaba ...ingawa wanalia..Yes of course sio wote wanaolia pia nafikiri sababu uliyotoa ipo na alizotoa bro pia zipo
Au unaonaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaNimevuta bangi nikagundua[emoji848] wanawake ndio watu pekee duniani ambao sio wanaume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha nikavute ingine nakam[emoji1435][emoji1435]
TeheteheteheMy primary teacher used to tell us
"...lalisha matako apa, kumbuka si wewe nachapa, ni ujinga natoa."
till today mi huamini ujinga huwa kwa matako. nkiona dem na matako kubwa najuanga io ni ujinga amejaza...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550] na nimeenda
Hahahaha umetisha sanaFoolishness is when your name is Solomon but you have only one girlfriend.What a waste of a name. [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣Napata wasiwasi page ya ngapi tena maana heshima hii Mimi sistahiri kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I have been many things since the begging of this long lasting thread from Mlaini to Mgumu, mlaini again Mgumu again. I even don’t know what I’m anymore [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gr8 kwa kweliHabari za jumapuli wadau
Wapi mkuuMvua kwetu
11:4511:16
Mkuu habari za jumapiliNdugu yangu habari za uzima na habari za jumapili
Sorry salamu nimezicheleweshano! hajanifikishia ujumbe wowote!
Nafaa sanaHafai