Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Ooohh Under eighteen
Nilikumiss bro.... Kutiki?
Ma K Vant yanamuelemeaga sometimes...[emoji16][emoji16][emoji16]Muulize yupo na Jumong au K vant [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inahusu?Kwa Avatar yako ni Nani
Niliwo kakaake.....Nimekumisimo dadake, uliwo? [emoji1][emoji1]
Hahahaha mkuu akuonaMoney luvus me wallah [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1123116
Sasa hivi upo vipi mkuu wa kaya?Mimi nimesha ondokana na huo usumbufu
Amun RaNamhala. Tufafanulie kidogo kuhusu black holes. Najua huwa yanatokea wakati nyota zinapozeeka na kufa lakini kwa nini wanasema kuwa ndanimwe kanuni zote za Fizikia tuzijuazo hukoma - hakuna muda, hakuna space, hakuna kila kitu? Ni kwa sababu nguvu ya uvutano ni kubwa mno na inasigina kila kitu au ni nini? Mbali na kufakamia nyota na hata magalaxy mengine jirani, mablack holes yana faida yo yote katika mfumo mzima wa kimalimwengu?
Najua umesoma sana maandiko ya Hawking. Msaada please [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Aisee! Noma sana mkuu, mrudishe kwenye maji sasa nishamuona
Niliwo kakaake.....
HahahahaKunywa hiyo poti, we inywe tu kila siku; haina madhara! [emoji1][emoji1]