Salam Mzee wa pwani[emoji120][emoji120]
Habari ya wikiendi ndugu yangu
Esta anaumwa?
Hahahahabanter kidogo:
kuna mechi ya wanawake inaendelea muda huu inawakutanisha watoto wa malikia watupu (england vs scotland) basi kuna janadume limelipiza kisasi cha fainali ya liverpool.
ebwane weee ameingia uwanjani uchi wa mnyama cha ajabu refa ndiye aliyemtoa na mpaka muda huu refereee hajarudi uwanjani sijui wanafanya ibada gani huko chumbani.
View attachment 1123143
Hahahaha mkuu akuonaView attachment 1123144
Mdee sio Ester! Naona anaendelea vizuri.Esta anaumwa?
2020 imekaribia. Mungu Amponye jembe huyu tayari kwa mapambano
Hahahahamoudgulf kaka yangu biashara ya kuuza dhahabu inaonekana imeshakushinda, umeamua kugeukia biashara ya kuuza nyoka.
hahahahahhahaaaaaaa tafadhali usije ukauza ikulu ya magogoni kama yule jamaa aliyeuza mnara
Aisee! Noma sana mkuu, mrudishe kwenye maji sasa nishamuona
moudgulf kaka yangu biashara ya kuuza dhahabu inaonekana imeshakushinda, umeamua kugeukia biashara ya kuuza nyoka.
hahahahahhahaaaaaaa tafadhali usije ukauza ikulu ya magogoni kama yule jamaa aliyeuza mnara
Na wabakie hivyo hivyo. Mastaa kibao lakini hawawezi kitu. Kahwi is killing them laivu ...Hawa wako kwenye panic mood sasa! [emoji1][emoji1]Report: Durant's absence causing 'confusion, angst' among | theScore
Kevin Durant hasn't played a game since May 8, and with his Golden State Warriors on the ropes against the Toronto Raptors in the NBA Finals, hope still e…www.thescore.com
Huyo anamezwa ni Mamba?
Angalia kwenye online alikuwa muda gani kwenye forum hahahahaSasa hivi hayupo niko huru. Angekuwepo hapa ni iginoa listi moja kwa moja
Picha za vitoto kama kawaida tupiaMisss you moreee mzee wa Ini