Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yeah! Right but not this nduli who is now trying so hard to get rid of CAG Assad without a single valid reason to do so. Hakuna aliyewahi kuliibia Taifa letu kama huyu. 2.4 trillions akagoma kuunda tume huru, nyumba za Serikali, $495 millions alizochota hazina bila idhini ya Bunge na kisha kumzuia CAG Assad asizifanyie auditing kama ambavyo katiba inamruhusu, kivuko uozo bilioni 8.



Huwa wanabadilika na kuwa wanyenyekevu karibu na KULA. 2020 hiyoooooo na uchumi uko chaliiiii!


People change
 
Hata kama mtu ataumwa na nyuki watatu au kumi bado watasaidia kuondoa sumu na iwapo mhusika atavimba sana kuliko kawaida maana yake mwili wake utakuwa na sumu nyingi, hivyo inapokutana na sumu ya nyuki inasababisha mzio,” [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Iwapo binadamu ataumwa na nyuki wengi sana kwa wakati mmoja basi ni rahisi kupata madhara kwa kuwa sumu ya nyuki itakuwa nyingi mwilini, lakini nyuki wachache haina madhara, wanafunzi na wananchi msigope kuumwa na nyuki ni sehemu ya tiba,“.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…