Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Typical Kiranga. Asante sana mkuu. Nitafuatilia links zote hizo. Mfano wako wa kamera umeweka vitu kwa uwazi zaidi.

Juzi juzi hapa nilimsikia Michio Kaku akisema kuwa tunahitaji Einstein mwingine aje atusaidie kuunganisha nadharia za Relativity na Quantum. Pengine siku moja itawezekana.

Nikiwa na maswali zaidi nitauliza.
 
Tajiri wa China na mmiliki wa kampuni ya Alibaba Group Jack Ma amewasisitiza wafanyakazi wa maofisini kufanya mapenzi mara 6 kwa siku 6 ndani ya wiki. Hii itawaongezea ufanisi mzuri wa kazi za ofisi na maisha ya kawaida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu asante kwa madini haya
 
Jack Ma mwenye utajiri wa Tsh. Trilioni 88 amesema hayo kwenye mkutano wa wafanyakazi wa kampuni yake ambapo aliitambulisha kanuni ya “669” ambapo ni Kufanya mapenzi mara 6 ndani ya siku 6 kwenye mfumo wa masaa 12 ya kazi kwa China (9 am to 9 pm).
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu naomba kile kitabu cha THE OTHER SIDE OF MIDNIGHT by Sydney Sheldon... Nilidownload ulivyoniwekea kule kwenye Uzi wa jf usiku wa manane kikawa hakifunguki naomba ujaribu tena kuniwekea hapa kama hutojali
Natumia app na kwenye app attachment nyingi zinakuwa na matatizo. Nitajaribu kukuwekea hapa. Kama una email ambayo haina jina lako halisi (kama hutaki kujulikana) nipe na nitakutumia huko.

Blessings [emoji1545][emoji1545]
 
Amun Ra
 
Baada ya kuwahimiza watu kufuata spirit ya “996” (9: 9 hadi 9:00, siku sita kwa wiki mahali pa kazi), mwanzilishi huyo wa Alibaba Jack Ma sasa ametoa ushauri mwingine kwa wafanyakazi ili kuwa na maisha bora: amesema “mnatakiwa kufuata spirit ya “669” (yaani kufanya mapenzi kwa siku sita, mara sita).
 
Kwa mujibu wa Daily Mail, tajiri huyo wa China alitoa ushauri huu kwa wafanyakazi wakati wa tukio maalumu ambalo alikutana na wafanyakazi wa kampuni hiyo ya Alibaba na kusema “Katika kazi, tunasisitiza spirit ya ‘996. Katika maisha, tunapaswa kufuata’ 669, ‘” Ma alisema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…