capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Huyu ni KE au ME, Bro?Natumia app na kwenye app attachment nyingi zinakuwa na matatizo. Nitajaribu kukuwekea hapa. Kama una email ambayo haina jina lako halisi (kama hutaki kujulikana) nipe na nitakutumia huko.
Blessings [emoji1545][emoji1545]
Kule tumekutana mara ya kwanza!Wapi huko?
Jamaa aliwahi kusema hapa anamiliki ntutu wa kivita uitwao AK 47, kisha anataka kujua siri ya vito vya thamani, kwakweli nimeogopa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona mnatupiana maswali hahahaha
Pole sana kwaojamani marehemu afande ameacha wake wawili na watoto watano
Hahahaha aisee
We nenda tu, Mimi long time sijaenda. HapanivutiiKule tumekutana mara ya kwanza!
Dunia ina mambo ya ajabu ajabu kabisaNdiyo mkuu
Natumia app na kwenye app attachment nyingi zinakuwa na matatizo. Nitajaribu kukuwekea hapa. Kama una email ambayo haina jina lako halisi (kama hutaki kujulikana) nipe na nitakutumia huko.
Blessings [emoji1545][emoji1545]
ππππMimi niliandika tu ili nipate likes [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jaribu hapo kama utaweza halafu nipe mrejesho. Jaribu kutumia kompyuta/web na siyo app...Mkuu naomba kile kitabu cha THE OTHER SIDE OF MIDNIGHT by Sydney Sheldon... Nilidownload ulivyoniwekea kule kwenye Uzi wa jf usiku wa manane kikawa hakifunguki naomba ujaribu tena kuniwekea hapa kama hutojali
Me nataka uwepo ndo na mimi niwepo! Siku pakikuvutia nitwae na mimi.We nenda tu, Mimi long time sijaenda. Hapanivutii
Nitakuvuta siku nikipata mood ya kwendaMe nataka uwepo ndo na mimi niwepo! Siku pakikuvutia nitwae na mimi.
Mkuu akikutumia tafadhali nitumie na mimi PM π π πSawa mkuu nitakutumia email unitumie kupitia email
Ila nitakutumia pm siwezi iweka hapa.
Kwa kweli sijui. Unaweza kumuuliza directly bro...Huyu ni KE au ME, Bro?