Yes, wapo tisa kweli. Alizaa watoto 5 kwa mume wa kwanza,akaolewa mara ya pili akazaa 3.Hahaha...umetia chumvi bwana watoto 9?
Because bitches are real and are down for whatever...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mamwambiaga hiyo inaumiza lakini anafanya jitihada kutukumbusha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ile ilikuwa ya Mwananzengo bana. Mvuvi na hayo mambo wapi na wapi bana! Hivi Mtendeni ulikuwa unafuata tuition kweli au ulikuwa unakwenda kumvizia Mwanaidi tu pale! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]