πUtailipa hiyo wallahi... late 80's?aaaah wapi!!
Daahh.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]. Mimi nikifunguka hapa mofolojia yake niliyonayo kwenye likichwa langu hili la hovyo itakuwa patashika mbona? Ngoja tu niache...Litoto lizuri jeupe toli toli, wezere tinginya, ngozi laiiini, uso wa kitoto, lipole lipole hivi, licheshi, guu guu, mwili taiti wa kimazoezi, tumbo flati, vidimpozi na kimwanya cha kishikaji, kiuno cha nyigu, macho mkonyezo...na mapene ya kumwaga......dah !!!
Halafu lina ukweni tayari [emoji36][emoji36][emoji36]...wakora waitu umpe maela gange bojo.......
Baadaye wakuu na samahani kama nimemkwaza mtu [emoji2099][emoji2099][emoji2099]. Uzi wetu huu ni shida....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]Utailipa hiyo wallahi... late 80's?
Niamkie back...
π€£π€£π€£π€£π€£ Jamaniiii[emoji16][emoji16][emoji16]. Mimi nikifunguka hapa mofolojia yake niliyonayo kwenye likichwa langu hili la hovyo itakuwa patashika mbona? Ngoja tu niache...Litoto lizuri jeupe toli toli, wezere tinginya, ngozi laiiini, uso wa kitoto, lipole lipole hivi, licheshi, guu guu, mwili taiti wa kimazoezi, tumbo flati, vidimpozi na kimwanya cha kishikaji, kiuno cha nyigu, macho mkonyezo...na mapene ya kumwaga......dah !!!
Halafu lina ukweni tayari [emoji36][emoji36][emoji36]...wakora waitu umpe maela gange bojo.......
Baadaye wakuu na samahani kama nimemkwaza mtu [emoji2099][emoji2099][emoji2099]. Uzi wetu huu ni shida....
Kama Tanzanite eeh?
ππππ aiseeJamani hisia zako ziko nje kiasi hicho
Hahah! Inawezekana mkuuUtakuwa una matatizo mkuu
Njoo u put inHahah! Inawezekana mkuu
Hilo mimi nalijua mzee mana ulishanihadisia mambo ya hukoHa ha ha mzee mwenzangu,feedback iko poa sana,mambo ni mazuri kwa kweli
Unataka nivunjike miguu Wewe...... πNjoo u put in
safiiMoonstone Milky Qurtaz View attachment 1124623