Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bidada ana matatizo huyu! Weye ni mtu huru umeshaamua kuachana na DP na kuunganisha na mtu mwingine sasa woga wa kumuweka hadharani njemba mpya unatoka wapi na weye unataka saa zote uwe mitandaoni!? Ama weka picha yako tu ili uachane na huo ujinga wa kuziba kichwa cha juu😜😜😜

Ukificha kichwa tunazoom vingine
View attachment 1124615
 
Alaaah.. ndio maana... sasa ile video ilikuwa inacirculate tu Whatsupp..
Haina uhusiano na mimi..
Na sifanani nae kabisaaa...
Duh! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lakini ilinisaidia kutengenezea picha maana maelezo mengine ya muonekano wako uliyaleta humu mapema.
Hata kama utaendana nae rangi na lile guu utakuwa kwenye kiwango cha juu sana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Jamani imagination imagination
Unacreate tu image ile unataka iwe!
Kuwa anonymous rahaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…