myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Haki zetu muhimu...
To Make A Long Story ShortTell me about it
To Make A Long Story Short
🤣🤣🤣 Uzi hatariii .. sijaona mtu humu katoa machungu kule maana yake ninyi ndio mnatukanwa!Huu wa kitambo, sikuwahi kuuona ila comments zinafurahisha sana.
![]()
Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?
Mimi binafsi huwa sipendi kusikia jina Lucy. Ooohhh what's the f**ck lucy. Hujawahi kuacha moyo wangu salama baada ya kunisaliti live. Nilijifunza vingi kwako ambavyo mpaka sasa nikikutana na mwanamke anavyo sitakuwa na mahusiano nae. 1. Ni mwongo kiwango cha lami na simu zake zimepandiliana...www.jamiiforums.com
Smokey bwana..Hivyo vipele viko kwa wapi?Unachokoza vipele vyangu jamani. Miss you too Mr.
Mwili mzima dear, nasisimkwaaaSmokey bwana..Hivyo vipele viko kwa wapi?