[emoji23][emoji23]Basi nimeona Jina lako huko Moyo hujatulia kabisa😕
Wanao hawajambo, wapo likizo fujo tupu. Uje kuwasalimiaSijambo,. furaha yangu nikuone ukiwa unafuraha kama hivi.
Vipi wanetu huko?
Kizuri kula na mwenziooooHuyu coco sasa itabidi tumkalishe kikao [emoji16][emoji16]
Mh.. Kg Mulika🔦MwiziNasisimkwa tu hata simuibi 🏃🏃🏃🏃
Weengi walikua hawajazaliwa hapa.Mimi hii redio imenikumbusha nikiwa na mke wangu kipenzi kipindi kile damu yamotoooo.Nakumbuka ndio alikua amejifungua mtoto wetu wa kwanza ana wiki moja tuu nyumbani hata kupona vizuri hajapona.Tulikua tunaishi chumba kimoja, yaani unakaa kitandani unawasha jiko ukinyoosha mkono unafungua mlango(mlango ni mmoja tuu).Basi tulivamiwa na majambazi wakilenga kuiiba redio kama hiyo na jiko la mchina(yale yanayotumia kerosini).
Wale wezi walijuta kuja kwangu.
Wambie nawamiss sana, nitakuja na zawadi.Wanao hawajambo, wapo likizo fujo tupu. Uje kuwasalimia
Wala siibi kwa kujificha. Nikitaka kumuiba Coco wote mtashuhudia live 😀😀Mh.. Kg Mulika🔦Mwizi
Fraggy unafanya fujo ujueMh.. Kg Mulika🔦Mwizi
Salamu zimefikaWambie nawamiss sana, nitakuja na zawadi.
Ee kizuri tu.. sio kikunio cha muwashoKizuri kula na mwenzioooo
🙏 🙏 🙏Salamu zimefika