Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Chama Cha ACT Wazalendo kinawajulisha wanachama wake na Watanzania kuwa Kiongozi wetu wa Chama Ndg. @zittokabwe ameshikiliwa na mamlaka za Serikali tangu saa nane mchana leo. Kiongozi ameshikiliwa na maofisa wa Uhamiaji Zanzibar kwa maelekezo kuwa haruhusiwi kwenda Nje ya nchi
 
Mlinda lango wa Atletico Madrid Jan Oblak wanataka kuondoka katika timu hiyo msimu ujao na Mslovenia ,huyo mwenye umri wa miaka 26, anapendela kwenda Manchester United zaidi ya Paris St-Germain. (ESPN)
 
Manchester United wamekuwa wakishauriwa wamchukue Muingereza Wan-Bissaka Aaron anayecheza safu ya kulia-nyuma - licha ya dau la awali kwa ajili ya kijana huyo mwenye umri wa miaka 21- kukataliwa na Crystal Palace. (Evening Standard)
 
Manchester United huenda watathmini upya nia yao ya kusaini mkataba na mlinzi wa Tottenham Danny Rose, mwenye umri wa miaka 28, baada ya mchezaji huyo wa safu ya nyuma ya England kukiri kuwa anaweza kuondoka katika kikosi cha Spurs msimu huu. (Manchester Evening News)
 
Barcelona wako tayari kutupa karata yao ya mwisho katika juhudi za kusaini mkataba na kiungo wa kati -nyuma wa Ajax na Uholanzi Matthijs de Ligt, mwenye umri wa miaka 19, wiki hii kwa kuanzisha upya mazungumzo na wakala wake Mino Raiola. (ESPN)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…