Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Manchester City na Bayern Munich wanamlenga Rodri, mwenye umri wa miaka 22, ambaye amekwishaamua kuondoka Atletico Madrid, na amesema watamlipa malipo sawa na anayolipwa kiungo yeyote wa kati wa Uhispania anayopokea anapopokelewa kutoka timu nyingine. (AS - in Spanish)