Tutaokolewa kwa neema tu na si vinginevyo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nakuonaaa...
View attachment 1125454
Tena kubwa sana !!!Duh! Kazi mnayo!
Salama mkuu...kwako je?Habari za wakati huu Wakuu
Kweli vyuma vimekaza. Watu hawataki mchezo kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]Hii sio haki
Tulichat vizur PM na baadae tukahamia whatsapp hadi video call. Tukakubaliana nikakutumia nauli mpaka leo kutoka hapo maji matitu kuja hapa tabata unanizungusha Leo week ya nne. Tafadhali rudisha hela yangu la sivyo nitajitoa muhanga nianike chat zetu za PM hata nikipigwa ban najua nitarudi...www.jamiiforums.com
Viganja kila sampuli kwenye uzi huu [emoji16][emoji16][emoji16]
Raha ya movie kama hii uangalie usiku.
Aisee hii chai si kweliKweli vyuma vimekaza. Watu hawataki mchezo kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1125593
Unazungumzia muda tunaopoteza hapa kwenye likes ama?Kama haileti hela kwao haimake sense
Hata wazungu wana kamsemo...Kumleta Msuku Mjini sio tatzo sana,shida ni kuutoa ule Usuku[emoji2][emoji2][emoji2] unaambiwa hata tinga tinga zije kumi,,Usuku huwa hauwez kutoka