Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Khaaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ankooooo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli wote walikuwa "femasi" sana.
Mungu atusamehe kwa kweli. Yaani mtu unapigwa Jahanamu kwa kosa la kusifia tu !!!
Ila kama kutamani ni dhambi kweli sitajuta, nimeinjoika sana
 
Unazungumzia muda tunaopoteza hapa kwenye likes ama?

Hahaha hapana bro Mimi sidhani kama mnapoteza muda, sio kila wakati utakuwa umekomalia kutafuta na unachotafuta wala hakiwi kingi, badala yake unaingia humu ku refresh kwa mfano nilikuwa napitia michango yenu nimecheka sana

Mimi nafurahia uwepo wenu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…