Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini watu wengine huwa na udaku extreme.
Unaishi na dem yako
Ukitoka Tu Nje Na Jasho Linakumwagika Utasikia "mmmmh Atamkondesha Mtoto wa Watu"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Sijui Uwa Wanahisi Nini Wenyewe!!.
 
455217890_417214.jpeg
 
Nyufa hizi kwenye meno, kwa kawaida husababisha maumivu makali ya jino/meno. Hivyo basi meno haya yenye nyufa yanaweza kutibiwa kwa kuvalishwa kofia “ dental crown”. Si kawaida kupata magonjwa ya fizi ama kuta za ndani za shavu ikiwa umetoga ulimi na unatunza afya ya kinywa na meno vizuri.
✔
 
😂😂😂😂😂😂😂akili za waliokotwa jalalani. Umenikumbusha jamaa mmoja kwenye uzi huu kwa jina Rutashubanyuma. Yule jamaa alikuwa busy kwenye uzi huu haijawahi kutokea 😂😂😂alibadilika kabisa namna anajadili hapa jamvini na kuachana na forums nyingine zote alizokuwa anapenda kuchangia mada mbali mbali.

Kwenye uzi huu ukimsemesha hajibu 😂😂😂yuko busy kupost tu kuanzia asubuhi mapema hadi usiku wa saa tano au zaidi. Sijui kapotelea wapi yule mtu. I hope he still kicking.

huu uzi baadhi ya nyakati unapaswa uachane nao na utakapouendekeza sana kuna hatari akili zako zikafanana na bwana kabudi
 
Back
Top Bottom