Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji120][emoji120][emoji120]
FB_IMG_1560549832266.jpeg
 
Mimi sijui nikoje naweza kumpenda mwanamke ila akinikubalia tukifika chumbani naona aibu kumchungulia

Yaani mwanamke akivua nguo zake mpaka ya ndani kabisa akabaki uchi wa mnyama Mimi huwa machozi yananitoka nalia halafu namuaga nakimbia. Sijui yale machozi yanatokaga wapi

Sio Mara moja au mbili huwa nawaacha wanawake wenyewe vyumbani

Yaani sijui kwanini naogopa uchi wa wanawake kama nini sijui.

Sasa mtoto mdogo ndio akitaka kukojoa karibu yangu huwa namfukuza kama mbwa au niondoke Mimi hata kama nipo ugenini

Hivi hii inasababishwa na nini?
 
Duh! Hii kali aisee
Huwa unahisi/unawaza nini ukiona utupu wa mwanamke mpaka uogope?
 
Mkurugenzi wa mchezo wa Juventus Fabio Paratici amesafiri kuelekea katika ofisi za Manchester United mjini London kwa ajili ya mazungumzo ya ana kwa ana juu ya uhamisho wa kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, mwenye umri wa miaka 26. (Sky Sports Italy via Sky Sports
 
Mshambuliaji wa Manchester United na Ubelgiji Romelu Lukaku, mwenye umri wa miaka 26, amekubali mkataba wa kibinafsi na Inter Milan katika mkataba unaoweza kumlipa nyota huyo pauni milioni 6.6 za mafao hadi mwaka 2024. (Gazzetta dello Sport via Metro)
 
kiungo wa kati-kulia wa Crystal Palace Muingereza Aaron Wan-Bissaka, mwenye umri wa miaka 21, anapendelea kuhamia Manchester United msimu huu. Palace wanamthamanisha mchezaji huyo wa safu ya ulinzi kwa kiwango cha pauni milioni 70 . (Sky Sports)
 
Manchester City wamekuwa wakikataa kukubali thamani pauni milioni 90 ya mchezaji wa safu ya kati-nyuma Harry Maguire, mwenye umri wa miaka 26 iliyowekwa na Leicester na kusema kuwa pendekezo la uhamisho wake limesitishwa kwa muda. (Daily Mail)
 
Back
Top Bottom