Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini watu wengine huwa na udaku extreme.
Unaishi na dem yako
Ukitoka Tu Nje Na Jasho Linakumwagika Utasikia "mmmmh Atamkondesha Mtoto wa Watu"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Sijui Uwa Wanahisi Nini Wenyewe!!.
 
βœ”
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚akili za waliokotwa jalalani. Umenikumbusha jamaa mmoja kwenye uzi huu kwa jina Rutashubanyuma. Yule jamaa alikuwa busy kwenye uzi huu haijawahi kutokea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚alibadilika kabisa namna anajadili hapa jamvini na kuachana na forums nyingine zote alizokuwa anapenda kuchangia mada mbali mbali.

Kwenye uzi huu ukimsemesha hajibu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚yuko busy kupost tu kuanzia asubuhi mapema hadi usiku wa saa tano au zaidi. Sijui kapotelea wapi yule mtu. I hope he still kicking.

huu uzi baadhi ya nyakati unapaswa uachane nao na utakapouendekeza sana kuna hatari akili zako zikafanana na bwana kabudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…