Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

If you are a girl na ulisoma,"The river between,Shreds of tenderness,Utengano,Mayai waziri wa maradhi" na bado unaishi na wazazi.. Sms the word LOVE to 2868

[emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1787][emoji1787]
 
I just can't stand how my ex hates me..imagine nimepost "I damn luv soccer n beer aaah[emoji39][emoji4]" kidogo kidogo ivi ati amepost "boys who luv soccer n beer have small dicks"..[emoji19]dear ex really?? [emoji2976][emoji2976]
 
Jana usiku nilikula ugali ya mahindi ya Mexico...sai najihisi kipedro olvares hivi...romantic! You get what i mean?
Lesado supremo amor bravigeorgio un refugio.
Sijui nijiite Emilito lehandro Camilito!?
ama namna gani
 
Me ushangaa na hawa madem wakonde wakisema wanataka kupata mimba,
Like, Kama umeshindwa kubeba matako, Mimba ndio utaweza kweli???
.
I die [emoji23][emoji23][emoji13][emoji13]
.
Sijataja mtu...walking away whistling [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Nilikua namaanisha taasisi za Elimu mana umeshanipiga mikwara mara kadhaa kwamba utatokea UD hivyo tukae mkao wa kula Sup
Aaaah! Kumbe !!!

Kiprofeshenale mimi ni ticha...na hiyo ni mikwara ya kawaida tu...Tangu nianze kupiga chaki sijawahi kushika mtu na Sup kwa hivyo msiogope [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…