Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mr & Mrs GOAT
20190428_103026.png
 

Jf hii utapeli mwingi



Dah

Kuna mtu alinikomalia huko MMU kunipiga laki tano nikamkumbuka bro Ninge alivyolizwa kwa kuahidiwa bando la chuo lisiloeksipaya nikagangamara naye mpaka akaomba po. Humu ni kama mtaani tu na ukizubaa unalizwa tena asubuhi na mapema [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akili za waliokotwa jalalani. Umenikumbusha jamaa mmoja kwenye uzi huu kwa jina Rutashubanyuma. Yule jamaa alikuwa busy kwenye uzi huu haijawahi kutokea [emoji23][emoji23][emoji23]alibadilika kabisa namna anajadili hapa jamvini na kuachana na forums nyingine zote alizokuwa anapenda kuchangia mada mbali mbali.

Kwenye uzi huu ukimsemesha hajibu [emoji23][emoji23][emoji23]yuko busy kupost tu kuanzia asubuhi mapema hadi usiku wa saa tano au zaidi. Sijui kapotelea wapi yule mtu. I hope he still kicking.
Alitoweka ghafla. Sijui kama yupo kwenye majukwaa mengine huko. Natumaini kuwa ni mzima huko aliko [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom