Woozaaaa....View attachment 1127751
Happy Fathers Day In Advance, everyone!
Ufike salamaAm on my way
Kuna wengine wanahitaji msaada kweli sasa wanaharibiwa na hao matapeli maana inakua ngumu kumjua yupi mkweli, yupi tapeli. Kuna wengine wanakuja adi PM
Jf hii utapeli mwingi
![]()
Naombeni msaada wa gharama za matibabu mwanangu umri miaka 6 ameungua moto - JamiiForums
Ndugu zangu habari za kazi! Naitwa Evaline jonathan kizwili, Naishi Tegeta Dar Es salaam ni mama mjane Mume wangu aliniacha na watoto watatu, Ndugu wana zangu ilikuwa Jumapili iliyopita tar 9/6/2019.Mwanangu alitoka kanisani ibada ya watoto,Alipofika nyumbani aliyakuta maharage jikoni wakati...www.jamiiforums.com
Dah
![]()
WanaJF Msaada Tafadhali
Wakuu habarini za majukumu! Ukiona mtu analia ujue kuna jambo. Naleta kwenu ombi la msaada ili nipate angalau unga wa kula ili familia yangu nayo isherehekee sikukuu ya idd kama familia zingine. Nilikuwa na kaakiba mwanangu akaugua ugonjwa wa nimonia , nimekatumia kaakiba kote, japo nashukuru...www.jamiiforums.com
Wanaharibia sana wenzao sio vizuri kabisaaaKuna wengine wanahitaji msaada kweli sasa wanaharibiwa na hao matapeli maana inakua ngumu kumjua yupi mkweli, yupi tapeli. Kuna wengine wanakuja adi PM
Wa alaykum Salam..habari mkuuAsalaam Alyeikum