Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1560549226917.jpeg
 
*PUMU YA NGOZI NA TIBA YAKE*
Pumu ya ngozi ni ugonjwa wa ngozi ambao kitaalamu wanauita atopic dermatitis,ni ugonjwa unaopelekea muwasho mkali na usiotibika kirahisi katika ngozi,muwasho huu kwa baadhi ya watu huambata na vipele ambavyo ukivikuna ngozi inabadirika na kuwa nyekundu na muwasho wake hauvumiliki,unaweza ukawa sehem ndogo ya ngozi au mwili mzima
 
*SABABU ZA KUPATA PUMU YA NGOZI*
✍Aleji ya chakula, pafyum n.k
✍Ukavu wa ngozi
✍Kukaa mazingira ya baridi sana
✍mabadiliko ya hali ya hewa
✍Mgusano wa kemikali zisizo endana na mwili
✍mafuta ya nywele,pafyum au vipodozi visivyo endana na ngozi yako.
 
*TIBA YA PUMU YA NGOZI*
Kabla hujaanza kufikiria tiba ya tatizo hili soma kwa makini sababu kisha uangalie kwa wewe sababu unahisi ni ipi,kama ni aleji ni vema ukaenda kupima ili uepukane na vinavyopelekea aleji hio n.k, hapa tutaweka tiba rahisi ambayo inaweza ikatuliza tatizo au ikatibu kabisa kulingana na sababu iliopelekea tatizo.
 
tumia kipande kidogo cha pamba kuchovya kwenye mafuta haya na kupaka sehem zenye tatizo,unampaka usiku kwa siku mara moja tu,Tumia kwa siku 7 ,acha uone tatizo litajirudia au utakuwa umepona kabisa.
 
A pretty significant development in the Cristiano Ronaldo alleged rape lawsuit. TMZ Sports has learned the football star has been served with the court papers and the battle is now underway.


Remember, the accuser Kathryn Mayorga recently withdrew her lawsuit from state court in Nevada to focus on the lawsuit in federal court, mostly because state court laws were making it hard for her legal team to serve Ronaldo with the court docs.

And, just days after making the move, Mayorga's team had success serving CR7 -- which means the case can now move forward.

In fact, Ronaldo's legal team has already responded to the lawsuit with court docs of their own in which they ask the judge for permission to file a new 46-page document which will presumably lay out their argument for the court to throw out the case.
 
Back
Top Bottom