Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yawezekana. Marathon ile haikuwa ya kawaida. Mpaka nilidhani may be alikuwa anatumia some automatic program kuposti aisee. Hopefully atarudi siku moja ili aendeleze libeneke mpaka likes milioni moja...Inawezekana au kaamua kupumzika baada ya Marathon ya kufa mtu aliyoifanya kwenye uzi huu.