Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yawezekana. Marathon ile haikuwa ya kawaida. Mpaka nilidhani may be alikuwa anatumia some automatic program kuposti aisee. Hopefully atarudi siku moja ili aendeleze libeneke mpaka likes milioni moja...Inawezekana au kaamua kupumzika baada ya Marathon ya kufa mtu aliyoifanya kwenye uzi huu.
Hii muachie Hawachi. Tafuta ya kwako [emoji16][emoji16][emoji16]Haya..
Habari yako Mpendwa
Hilo liguu kulitatoo hivyo ndio nini aah
Duuuuuh
Mmh Kwani bado hazijaisha tu?Safi tu.. tupo tunapambana na Sita
Huwa ni any 6 days on this month..sio laxima zifuatane ..So I do mbili mbiliMmh Kwani bado hazijaisha tu?
Basi miaka ya 70 kabisa nikiwa na tumbo kuubwa la last born wangu nimefua manguo ya kutosha anika juani kitu chini aiseee kidogo nipigane na kamba[emoji125][emoji125]
Ooh Jizazi...Sabalkheri Laazizi
🤣🤣🤣🤣Ooh Jizazi...
Niite mkuu. Sitabisha tena [emoji16][emoji16][emoji16]
Pole na hongera, chukua vyote tu, Allah apokee funga yakoHuwa ni any 6 days on this month..sio laxima zifuatane ..So I do mbili mbili
Ameen..Pole na hongera, chukua vyote tu, Allah apokee funga yako