Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hillsong?
 
Siku hizi naogopa kutukana Mamba kabla ya kuvuka Mto mana soccer lina mambo ya ovyo ovyo sana. Ila matumaini yapo makubwa King na genge lake wanaweza kufanya jambo huu usiku....

Naangaika kupata link tu hapa
It is official. Messi ni bomu (at least kwenye mechi za kimataifa). Prisca unasemaje?
 
Dah bora ulimkazia bro,kuna utapeli sana humu ndani,watu wanakuja na style mpya za kutapeli kila siku!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…