Mzee mwenzangu,[emoji2][emoji2]Nilikua namaanisha taasisi za Elimu mana umeshanipiga mikwara mara kadhaa kwamba utatokea UD hivyo tukae mkao wa kula Sup
Bro punguzo mikwara, Davet navyomjua hana aman hivi sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si ajabu akapotea kwenda kujipanga na UEAaaah! Kumbe !!!
Kiprofeshenale mimi ni ticha...na hiyo ni mikwara ya kawaida tu...Tangu nianze kupiga chaki sijawahi kushika mtu na Sup kwa hivyo msiogope [emoji16][emoji16]
Hizi mechi za kimataifa messi haaminikiIt is official. Messi ni bomu (at least kwenye mechi za kimataifa). Prisca unasemaje?
View attachment 1128779
[emoji818][emoji818]
Mh!!View attachment 1128593
View attachment 1128594
Are beards dirtier than dogs? 'Significantly' more germs hide in men's beards, study finds
The study from the Hirslanden Clinic in Switzerland found beards carry more bacteria than one particularly dirty part of dogs.www.usatoday.com
Binti mpole bhana[emoji23]Basi miaka ya 70 kabisa nikiwa na tumbo kuubwa la last born wangu nimefua manguo ya kutosha anika juani kitu chini aiseee kidogo nipigane na kamba[emoji125][emoji125]
#mhengamie
[emoji818][emoji818]
ha ha ha kwa kweli asee,huo uhenga kautolea wapiHehehe! Huyu mhenga wa kuchora anayo shida kweli
#usitusumbuenauhengawakobandia
[emoji818][emoji818]
[emoji106][emoji106]
Wapi hiyoo...
Nimelala bro sema nimewahi sana kuamka kuna raia anakuja huko kwenu hivyo nilikua namsogeza hapo maeneo aondokeLeo hujalala kabisa. Siyo vizuri kwa afya...