I guess everyone will go to the mirror to check the colour
upo sahihi baba yangu ni mdachi(holland) na mama yangu ni kutoka joseon.Huyu wa kulia ndio Baba yako?
Eee.. sijui kama mwenzangu mzima
Ooh Jizazi...Yaani Mimi au ??
Cole sabalkheriYaani Mimi au ??
Kwa hiyo hawajaanza leo?Kitambo sana hiyo...View attachment 1129066
kimemshinda kiswahili atakiweza kiarabu cha pwani,Cole sabalkheri
HahahaHii expression sijaielewa[emoji3]
Itabidi akiweze tu hana namna!kimemshinda kiswahili atakiweza kiarabu cha pwani,
umemuuliza mwenzangu ni mzima?
mpaka muda huu hajatoa jbu sahihi.
kiswahili kina maajabu yake,
mwenzangu ni mzima?
umekusudia mwanamke mwenzako anayemilikiwa na bwan rasta au umemkusudia rasta mwenyewe.
kupatwa kwa kiswahili
It is impossible to know nothing because nothing does not exist...You know nothing
itabidi au kama vipi amfuate mwalimu shimba ampe msaada wa lughaItabidi akiweze tu hana namna!
Hamna ajabu mbona.. Kachumbari zipoupo sahihi baba yangu ni mdachi(holland) na mama yangu ni kutoka joseon.
babu yangu anatokea zanzibar
bibi yangu anatokea kenya.
usiniulize swali lolote juu ya huu ukoo wetu wa ajabu ajabu
Prove itImperfect World
siku hizi tuna andaa mchuzi wa biryani, kachumbari imepoteza hadhi yake.Hamna ajabu mbona.. Kachumbari zipo
Cole sabalkheri