Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
kimemshinda kiswahili atakiweza kiarabu cha pwani,
umemuuliza mwenzangu ni mzima?
mpaka muda huu hajatoa jbu sahihi.
kiswahili kina maajabu yake,
mwenzangu ni mzima?
umekusudia mwanamke mwenzako anayemilikiwa na bwan rasta au umemkusudia rasta mwenyewe.
kupatwa kwa kiswahili
It is impossible to know nothing because nothing does not exist...
Kwema bro?
Prove it
Fraggy bana mtata sana. Siku moja pengine tutaweza kuthibitisha laivu. Tuendelee kuvumilia tu...Mfano bro anataka kuhakikisha kama imagination zake kuhusu Miss Frag ni za kweli lakini mpaka Leo hii ameshindwa kama world ingekuwa perfect asingekuwa ameshindwa mpaka wakati huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na shape inachangia
bro wa akina BROS wadogo unaendeleaje huko?[emoji456][emoji456][emoji456][emoji456][emoji456] *GOOD NEWS: UMOJA WA MATAIFA AFRICA -AFRICAN UNION UMETANGAZA NAFASI ZA KAZI ZA KUJITOLEA KWA VIJANA WATANZANIA[emoji1241]*
*▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬*
*Wanahitajika Vijana Wa kufanya Kazi Maeneno haya*[emoji116][emoji116]
• Ofisi za Umoja wa mataifa Africa
• Mashuleni
• Hospitalini
• Maeneno ya Jamii
• Kuelemisha Jamii
• Vikundi vya Kijamii
___________________________________
*Fully Funded-UTALPIWA KILA KITU NA KULIPWA*[emoji383]
[emoji736] *Utalipiwa Usafiri Wa kwenda Eneo La kazi na Kurudi Nchini Kwako*[emoji574]
[emoji736] *Utalipiwa Gharama zote za Kuishi Kila siku*
[emoji736] *Utalipwa Allowances-Grants*[emoji383][emoji383]
[emoji736] *Utapewa Accomodation na Gharama zote za Malazi*
*Vigezo*:
• Umri Kuanzia Miaka 18
• Uwe Mtanzania[emoji1241]
• Uwe unajua Kingereza
• Uwe tayari KUSAFIRI[emoji574]
*Vijana Waliosomea Fani Hizi*
[emoji117] *EDUCATION*
[emoji117] *Kozi za Afya*
[emoji117] *IT,Computer Sciences*
[emoji117] *Kozi za Biashara na Ujasiriamali*
[emoji117] *Kozi za Kilimo*
[emoji117] *Kozi za Mazingiria*
*Deadline: June 30,2019*
*Bonyeza Link-APPLY ONLINE*
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]https://mchainanews.co.uk/fully-fun...-au-yvc-2019-for-young-african-professionals/
*▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬*
*WARNING[emoji724]: HAKUNA MALIPO YOYOTE YANAYOHITAJIKA KATIKA KUFANYA APPLICATION YAKO*
*SAIDIA KUSHEA TAARIFA HII MUHIMU IWEZE KUWAFIKIA WATU WOTE WANAOTAFUTA KAZI*[emoji1241][emoji1548]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Mimi sijambo kabisa. Happy Father's Day shemeji. Wakumbushe hao wapwa kuwa wana bahati kwa kuwa na baba kama wewe. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Dahhh!!! Kile kibao "X" kinachoonekana kina maana sana.Hilo guu ni ngumu sana kuliacha bila kutumia kile "kibao"...Happy Father's Day wakuu...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1129189
Dah huo mfanoo!Mfano bro anataka kuhakikisha kama imagination zake kuhusu Miss Frag ni za kweli lakini mpaka Leo hii ameshindwa kama world ingekuwa perfect asingekuwa ameshindwa mpaka wakati huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amen.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Mimi sijambo kabisa. Happy Father's Day shemeji. Wakumbushe hao wapwa kuwa wana bahati kwa kuwa na baba kama wewe. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfano bro anataka kuhakikisha kama imagination zake kuhusu Miss Frag ni za kweli lakini mpaka Leo hii ameshindwa kama world ingekuwa perfect asingekuwa ameshindwa mpaka wakati huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hepifazazidei mdogo wangu,najua wewe ni mpambanaji usiye sahau uliko toka.Mfanye kijana wako ajivunie kupita mikononi mwako kimalezi.
Kila lenye heri kwenye maisha yako[emoji120][emoji120]
Amen[emoji120][emoji120][emoji120]Happy Fathers Day Ndugu yangu najua maeneo hayo hakuna kinacho kwenda ndivyo sivyo, naamini vijana wanajivunia baba yao Mungu azidi kukupa nguvu na Afya ya kuwatunza [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Asante sana ankoo,nafurahia uwepo wako hapa,hakika najifunza mengi mazuri,na naamini pia ntakuwa baba bora!!Amen[emoji120][emoji120][emoji120]
Waambie ningendako, Davet, Bradha na capitalpool kuwa amu wochingi zemu kulozili... Sijawasahau