Nafasi imejaa[emoji87]Hivyo eh! Basi bila shaka hata kwenye yale mambo yetu pia mtakuwa mko vizuri mpaka muanze kusakwa mitandaoni[emoji12][emoji12][emoji12]sasa kumpakata huyo mleta mada hutaki kuchangamkia ili afurahishe nafsi yake ya kulelewa na wa umri mkubwa? [emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Niazime tochi nisije nikaparamia visiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tangu ujue kutimua mbio imeshakuwa shida, angalia tu usianguke ukavunja mguu au kiuno [emoji12][emoji12]
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Tochi sina nina chemli [emoji12]
Weye una umri ngapi? Uko tayari kuchukua mwanamke mwenye kuanzia miaka 70 kwenda juu? Unajua kuhonga? Mara ya mwisho ulihonga ilikuwa lini na ulihonga kiasi gani?
Hizo ni namba tuu....kuhonga nimhonge nin....nimhonge ili iweje sitafuti MTU wa kumlea au kunilea awe tu anajitambua...kwanin tupo in relationship.
Wengi hawana hata na habari ya developmental projects. Ni kuendeleza uslei kwini tu hakuna lolote; na wanategemea mbunye kama capital.hahahahahahahahaha capital funds Mkuu to start their development projects.
Kwani sasa ana miaka mingapi? Miaka 40 ijayo atakuwepo kweli achilia mbali kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi ya kutawala nchi?Kikaragosi Musiba na ukamongo wake
Kwani kutongoza hujui mkuu? Na hilo la kupendwa kwa dhati unaliuliza hapa JF? Hilo muulize huyo atakayekukubalia [emoji16][emoji16][emoji16]Nawezaje kupata mpenzi( mwanamke) mwenye umri mkubwa ila siyo mke wa MTU na anipende kwa dhati????
Mawigi wangeyapandishia kodi hata mara 1000. Siyapendi mpaka basi...Mabinti samahanini lakini...Tobaaaa!
Una uzee gani wewe Khantwe? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Sisi wazee tunajua kulea hulifahamu hilo? [emoji13][emoji13]