Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

455022381_463238~2.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mi pia nilishangaa sana kamanda, maana kilimo cha kuangusha msitu upande mahindi, mihogo na mtama siyo mchezo.
Sisi wakulima tumeamua kwa dhati kabisa kupoteza urembo wetu wa viganja vya mikono
Prisca. Kilimo hiki cha nyanya na mikono milaini wapi na wapi? Unataka hata wakulima tuwe na mikono laini kama ya Ray the Greatest? Imposibo wallahi hata tuwe tunakunywa pipa la maji kila siku...[emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mi pia nilishangaa sana kamanda, maana kilimo cha kuangusha msitu upande mahindi, mihogo na mtama siyo mchezo.
Sisi wakulima tumeamua kwa dhati kabisa kupoteza urembo wetu wa viganja vya mikono
Mikono laini tuwaachie wanaume wa Dar...Mikoani huku kwanza wananzengo watakushangaa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom