Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Poleni mlio kwenye daladala..
[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1129947
Shwaiiiniii zake kabisa huyu SYB wa bahari. Anaweza akakumega in half halafu wachambuzi bado wakasema eti alikuwa anatesti zali tu...
View attachment 1129950
Mikono laini tuwaachie wanaume wa Dar...Mikoani huku kwanza wananzengo watakushangaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Naona monks walishalilainisha mpaka likaomba poo [emoji16][emoji16][emoji16]
Nakuhesabu kama mwanamke ndio maana sitaendeleza ligi nawe!Mi siyo mwanamme wa type yako kuzoewa kijingajinga na mwanamke.
Ndo nyie mnaendeshwa na wanawake.