Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23]
Prisca. Kilimo hiki cha nyanya na mikono milaini wapi na wapi? Unataka hata wakulima tuwe na mikono laini kama ya Ray the Greatest? Imposibo wallahi hata tuwe tunakunywa pipa la maji kila siku...[emoji16][emoji16]
Mi siyo mwanamme wa type yako kuzoewa kijingajinga na mwanamke.Mwanaume wa Dar anajua "kuchambana" wa mikoni huwa ni mwiko kujibizana na wamama!
Mikono laini tuwaachie wanaume wa Dar...Mikoani huku kwanza wananzengo watakushangaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] Mi pia nilishangaa sana kamanda, maana kilimo cha kuangusha msitu upande mahindi, mihogo na mtama siyo mchezo.
Sisi wakulima tumeamua kwa dhati kabisa kupoteza urembo wetu wa viganja vya mikono
Naona monks walishalilainisha mpaka likaomba poo [emoji16][emoji16][emoji16]Chui la Kibisa[emoji23][emoji23]