Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha, huwa nashangaa jinsi anavyomega huyu SYB wa baharini.
Huyu akiona kiumbe binadamu anatapatapa tapa baharini lazima amgawanye vipande viwili kama binadamu anavyomega boflo.
Shwaiiiniii zake kabisa huyu SYB wa bahari. Anaweza akakumega in half halafu wachambuzi bado wakasema eti alikuwa anatesti zali tu...
View attachment 1129950
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…