Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naunga mkono hoja. Ukikubali kuingizwa kwenye chumba cha masaji faraghani jua kuwa umekwisha. Hela zote za mauzo ya nyanya unaweza kuziacha huko mwaka mzima ukawa umeambulia ziro [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1130910
Hii ilikuwa moja ya agenda yetu kwenye kikao chetu cha juzi[emoji2][emoji2]
 
upo sahihi kabisa, waafrika ni mabingwa wa kutatua tatizo baada ya kuleta athari kubwa sana.
na hatuwezi kutatua tatizo mpaka tusaidiwe na ngozi nyeupe (beberu) muhuni
Ebola kipindi kile si iliingia Ulaya na Marekani ikaua watu huko. Mara kufumba na kufumbua chanjo ikapatikana kiajabu ajabu tu. Watengeneza madawa na watafiti wanajua kuwa process nzima ya kutengeneza dawa tangu mwanzo mpaka ikubalike kimatumizi haipungui angalau miaka mitano. Ni wazi jamaa walikuwa na chanjo ila wanatuinjoi tu waafrika tukiteketea. Pengine hata chanjo/tiba za UKIMWI na Malaria zipo ila jamaa wameuchuna tu watu weusi tupungue pungue kidogo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…