Kwani una tatizo?
upo sahihi, kwa nini nidanganye haliyakuwa utafiti umeshaweka wazi ya kwamba asilimia kubwa ya wanaume wa Tanzania wana matatizo ya nguvu za kiume.
Gorofani...
Naunga mkono hoja. Ukikubali kuingizwa kwenye chumba cha masaji faraghani jua kuwa umekwisha. Hela zote za mauzo ya nyanya unaweza kuziacha huko mwaka mzima ukawa umeambulia ziro [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1130910
Hatarii sanaUkisikia wataalamu wanasema kuna tornado au hurricane inakuja tafuta mahali pa kujificha haraka. Usipouliwa na nyaya za umeme zilizodondoka au kuzama majini, makorokocho yanayorushwa huku na huko ndo yatakumaliza...View attachment 1130927
Kaa mbali na kiboko mwenye watoto...
View attachment 1130930
Machozi yanakwenda na maji (Remmy Ongala)Ulimwengu wa samaki