Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Kama hivi yaani[emoji23][emoji23]View attachment 1130972
Alikufa baadaye sana wimbo una miaka karibia 20. Kufa ni lazima bro...anytime, anywhere...Namsikiliza Marehemu Remmy bro
Kaimba kifo na kafa
Kwa hisani ya Cole Williams View attachment 1130966
Hahahaha kumbe unamfatiliaHahaha Jamaa anafanya mazoezi kushindana na Messi sio kazi ndogo
Samaki mkubwa kumumeza mdogo!
Aaa wapi. Radi inatumwagwa kabisa yaani laivu. Nilishahuhudia hili aisee japo ni mauza uza tupu...KUNA UHUSIANO GANI:
Kitaalamu hakuna uhusiano wa radi na imani za kishirikina isipokuwa kuna mazingira yanayoweza kuifanya radi kupenya kwenye mawingu na kushuka moja kwa moja aridhini na kuleta madhara mahala ilipofikia (gravitation area).
Alikufa baadaye sana wimbo una miaka karibia 20. Kufa ni lazima bro...anytime, anywhere...
Duh wapi huko bro?Aaa wapi. Radi inatumwagwa kabisa yaani laivu. Nilishahuhudia hili aisee japo ni mauza uza tupu...
Anakuwaga kama vile anazo mahali ametegeshea tu. Yaani anakujibu hapo hapo na picha juu tena relevant kabisa. Ananishangazaga sana !!!Wewe bana, sijui huwa unazifukunyua wapi hizi picha! [emoji1][emoji1]