Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh wapi huko bro?
Musoma huko kijijini kipindi fulani nilikuwa huko miaka ya hamsini hivi. Kibibi kiliichimba mkwara familia moja hivi korofi kuwa itapigwa na radi na kweli zikapita siku mbili radi ikapita ikaua ng'ombe kadhaa. Hiyo familia wakapuuzia mikwara ya kenyewe kakawaambia kuwa safari nyingine itakuja kali zaidi na kuleta uharibifu mkubwa zaidi. Hiyo familia walikuwa ndo wamenunua mashine ya kusaga na kujenga nyumba ya kisasa kubwa. Radi ikarudi ikapiga hiyo nyumba na mashine na vyote vikateketea. Bado hawakusarenda. Kakawaambia safari hii radi itakaporudi itaua watu. Wakajichanga wakaenda kuomba msamaha. Ikawa ndiyo pona yao. Sijui pengine ilikuwa ni coincidence tu au kulikuwa na namna. Haya mambo ni magumu...
 
Messi akiwa copa america hahahah
61953111_2479008738786815_226453454152893466_n.jpg

Nimemfatilia wapi nasikia kila siku anabeba mavyuma na kukimbizana na magari anateseka sana kushindana na messi, ni sawa na kufanya vibarua vya kubeba unga kwenye viwanda vya bakheresa if you know what I mean
 
Back
Top Bottom