Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

uvutano wa sumaku na hali-joto ya mahali haswa ardhi wakati radi inapiga pamoja na mwingiliano wa hewa tofauti inayochagizwa na kujizungusha kwa dunia katika mhimili wake (Rotation) na kulizunguka jua (Revolution).
 
Check out this article from USA TODAY:

FBI examining 2010 domestic fight involving acting defense secretary Shanahan; accounts differ on aggressor

Jamaa ameshabwaga manyanga! Haya mambo siku yakianza kufuatiliwa hapa kwetu sijui nani atabaki salama madarakani! [emoji1][emoji1]
 
nimesikia asali ya taifa imewekwa mahabusu kwa takribani wiki moja, wale waliofanikiwa kuonja asali yake tuseme wameshafariki wote au ndio mtumikie kafiri uende zako.
ngoja niwataje ninaowafahamu kwa mujibu wa jukwaa la celebrities
shimba ya buyenze
myoyambendi
moudgulf
diamond platnumz
TID mdudu
mr green
john komba
remi ongala
mmarekani mwekundu​


mhhhhhh timu ya mpira wa miguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…